caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:27

إِنَّا مُرْسِلُوا۟ ٱلنَّاقَةِ فِتْنَةً لَّهُمْ فَٱرْتَقِبْهُمْ وَٱصْطَبِرْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tutawatumia ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame vyema tu na ustahamili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tutawapelekea ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70