caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 28

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:28

وَنَبِّئْهُمْ أَنَّ ٱلْمَآءَ قِسْمَةٌۢ بَيْنَهُمْ كُلُّ شِرْبٍ مُّحْتَضَرٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa waambie kwamba hakika maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliyehusika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70