caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:26

سَيَعْلَمُونَ غَدًا مَّنِ ٱلْكَذَّابُ ٱلْأَشِرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKesho watajua ni nani huyo mwongo mno, mshari mkubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70