caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:25

أَءُلْقِىَ ٱلذِّكْرُ عَلَيْهِ مِنۢ بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi yeye tu aliyeteremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mno, mshari mkubwa!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70