caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:2

وَإِن يَرَوْا۟ ءَايَةً يُعْرِضُوا۟ وَيَقُولُوا۟ سِحْرٌ مُّسْتَمِرٌّ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakiona Ishara, hugeuka upande na husema: 'Huu uchawi tu unazidi kuendelea.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70