caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:19

إِنَّآ أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِى يَوْمِ نَحْسٍ مُّسْتَمِرٍّ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tuliwatumia upepo wa kimbunga katika siku korofi mfululizo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku korofi mfululizo,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70