caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:18

كَذَّبَتْ عَادٌ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِى وَنُذُرِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKina 'Adi walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70