caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:55

فَبِأَىِّ ءَالَآءِ رَبِّكَ تَتَمَارَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi neema gani ya Mola wako Mlezi unayoifanyia shaka?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi neema gani ya Mola wako Mlezi unayo ifanyia shaka?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70