caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:50

وَأَنَّهُۥٓ أَهْلَكَ عَادًا ٱلْأُولَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwamba Yeye ndiye aliyewaangamiza 'Adi wa kwanza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwamba Yeye ndiye aliye waangamiza A'di wa kwanza,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70