caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Najm, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 23 · 53:25

فَلِلَّهِ ٱلْـَٔاخِرَةُ وَٱلْأُولَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye Akhera na dunia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70