أَمْ خُلِقُوا۟ مِنْ غَيْرِ شَىْءٍ أَمْ هُمُ ٱلْخَٰلِقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?