caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 54

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:54

فَتَوَلَّ عَنْهُمْ فَمَآ أَنتَ بِمَلُومٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi waachilie mbali, nawe hulaumiwi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi waachilie mbali, nawe hulaumiwi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70