caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:43

وَفِى ثَمُودَ إِذْ قِيلَ لَهُمْ تَمَتَّعُوا۟ حَتَّىٰ حِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika habari za Thamudi walipoambiwa: 'Jifurahisheni kwa muda mdogo tu.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika khabari za Thamudi walipo ambiwa: Jifurahisheni kwa muda mdogo tu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70