caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:44

فَعَتَوْا۟ عَنْ أَمْرِ رَبِّهِمْ فَأَخَذَتْهُمُ ٱلصَّٰعِقَةُ وَهُمْ يَنظُرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakaasi amri ya Mola wao Mlezi. Basi ukawanyakua moto wa radi nao wanaona.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakaasi amri ya Mola wao Mlezi. Basi uliwanyakua moto wa radi nao wanaona.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70