caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:41

وَفِى عَادٍ إِذْ أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمُ ٱلرِّيحَ ٱلْعَقِيمَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika habari za 'Adi tulipowatumia upepo wa kukata uzazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70