فَأَخَذْنَٰهُ وَجُنُودَهُۥ فَنَبَذْنَٰهُمْ فِى ٱلْيَمِّ وَهُوَ مُلِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, huku ni wa kulaumiwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukamkamata yeye na majeshi yake na tukawatupa baharini, na yeye ndiye wa kulaumiwa.