caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 41

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:41

وَٱسْتَمِعْ يَوْمَ يُنَادِ ٱلْمُنَادِ مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sikiliza siku atakaponadi mwenye kunadi kutoka mahali karibu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sikiliza siku atapo nadi mwenye kunadi kutoka pahala karibu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70