caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 15

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:15

أَفَعَيِينَا بِٱلْخَلْقِ ٱلْأَوَّلِ بَلْ هُمْ فِى لَبْسٍ مِّنْ خَلْقٍ جَدِيدٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza? Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani tulichoka kwa kuumba mara ya kwanza. Bali wao wamo katika shaka tu juu ya umbo jipya.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70