قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُوا۟ بِهَا كَٰفِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, walikwishayauliza kaumu ya kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakufuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.