هَٰذَا بَصَٰٓئِرُ لِلنَّاسِ وَهُدًى وَرَحْمَةٌ لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uongofu na rehema kwa watu wenye yakini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHizi ni dalili zilizo wazi kwa watu wote, na ni uwongofu, na rehema kwa watu wanao yakinisha.