caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 38

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:38

وَمَا خَلَقْنَا ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا لَٰعِبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyo baina yake kwa mchezo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo baina yake kwa mchezo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70