caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 89

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:89

فَٱصْفَحْ عَنْهُمْ وَقُلْ سَلَٰمٌ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wasamehe, na uwaambie maneno ya salama. Watakujajua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wasamehe, na uwambie maneno ya salama. Watakuja jua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70