caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:8

فَأَهْلَكْنَآ أَشَدَّ مِنْهُم بَطْشًا وَمَضَىٰ مَثَلُ ٱلْأَوَّلِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tuliwaangamiza waliokuwa na nguvu kushinda wao. Na mfano wa watu wa zamani umekwisha pita.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tuliwaangamiza walio kuwa na nguvu kushinda wao. Na mfano wa watu wa zamani umekwisha pita.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70