وَلَوْ نَشَآءُ لَجَعَلْنَا مِنكُم مَّلَٰٓئِكَةً فِى ٱلْأَرْضِ يَخْلُفُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tungelipenda, tungeliwafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tungeli penda tungeli wafanyia miongoni mwenu Malaika katika ardhi wakifuatana.