فَٱسْتَخَفَّ قَوْمَهُۥ فَأَطَاعُوهُ إِنَّهُمْ كَانُوا۟ قَوْمًا فَٰسِقِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi aliwachezea watu wake na wakamtii. Kwa hakika hao walikuwa watu wapotovu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi aliwachezea watu wake, na wakamt'ii. Kwa hakika hao walikuwa watu wapotovu.