caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:53

فَلَوْلَآ أُلْقِىَ عَلَيْهِ أَسْوِرَةٌ مِّن ذَهَبٍ أَوْ جَآءَ مَعَهُ ٱلْمَلَٰٓئِكَةُ مُقْتَرِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi mbona hakuvikwa vikuku vya dhahabu au hawakuja Malaika pamoja naye wakamwandama?'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi mbona hakuvikwa vikuku vya dhahabu, au hawakuja Malaika pamoja naye wakamwandama?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70