أَمْ أَنَا۠ خَيْرٌ مِّنْ هَٰذَا ٱلَّذِى هُوَ مَهِينٌ وَلَا يَكَادُ يُبِينُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi kusema waziwazi?