caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 31

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:31

وَقَالُوا۟ لَوْلَا نُزِّلَ هَٰذَا ٱلْقُرْءَانُ عَلَىٰ رَجُلٍ مِّنَ ٱلْقَرْيَتَيْنِ عَظِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema: 'Kwa nini Qur-ani hii haikuteremshwa kwa mtu mkubwa katika miji miwili hii?'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Kwa nini Qur'ani hii haikuteremshwa kwa mtu mkubwa katika miji miwili hii?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70