caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:3

إِنَّا جَعَلْنَٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumeifanya Qur-ani kwa Kiarabu ili mfahamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tumeifanya Qur'ani kwa Kiarabu ili mfahamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70