وَإِنَّهُۥ فِىٓ أُمِّ ٱلْكِتَٰبِ لَدَيْنَا لَعَلِىٌّ حَكِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika hiyo imo katika Asili ya Maandiko yaliyoko kwetu, ni tukufu na yenye hekima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hakika hiyo imo katika Asili ya Maandiko yalioko kwetu, ni tukufu na yenye hikima.