caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zukhruf, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 63 · 43:25

فَٱنتَقَمْنَا مِنْهُمْ فَٱنظُرْ كَيْفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلْمُكَذِّبِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwa hivyo, tukawalipizia. Basi angalia ulikuwaje mwisho wa waliokadhibisha!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukawalipizia. Angalia ulikuwaje mwisho wa walio kadhibisha!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70