caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shura, Aya 32

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 62 · 42:32

وَمِنْ ءَايَٰتِهِ ٱلْجَوَارِ فِى ٱلْبَحْرِ كَٱلْأَعْلَٰمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika Ishara zake ni vyombo vinavyokwenda na kurejea baharini kama vilima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70