caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 71

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:71

إِذِ ٱلْأَغْلَٰلُ فِىٓ أَعْنَٰقِهِمْ وَٱلسَّلَٰسِلُ يُسْحَبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterZitakapokuwa pingu shingoni mwao na minyororo, huku wanabururwa
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniZitakapo kuwa pingu shingoni mwao na minyororo, huku wanabururwa
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70