caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 52

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:52

يَوْمَ لَا يَنفَعُ ٱلظَّٰلِمِينَ مَعْذِرَتُهُمْ وَلَهُمُ ٱللَّعْنَةُ وَلَهُمْ سُوٓءُ ٱلدَّارِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku ambayo hautawafaa madhalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makazi mabaya kabisa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku ambayo hautawafaa madhaalimu udhuru wao, nao watapata laana, na watapata makaazi mabaya kabisa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70