caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ghaafir, Aya 53

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 60 · 40:53

وَلَقَدْ ءَاتَيْنَا مُوسَى ٱلْهُدَىٰ وَأَوْرَثْنَا بَنِىٓ إِسْرَٰٓءِيلَ ٱلْكِتَٰبَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa hakika tulimpa Musa uongofu, na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa hakika tulimpa Musa uwongofu, na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70