يَعْلَمُ خَآئِنَةَ ٱلْأَعْيُنِ وَمَا تُخْفِى ٱلصُّدُورُ
Swahili Translation - Rowad Translation Center(Mwenyezi Mungu) anajua hiyana ya macho na yale ambayo vifua vinayaficha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Mwenyezi Mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua.