إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظْلِمُ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ وَإِن تَكُ حَسَنَةً يُضَٰعِفْهَا وَيُؤْتِ مِن لَّدُنْهُ أَجْرًا عَظِيمًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo zuri, atalizidisha na atapeana kutoka kwake malipo makubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Mwenyezi Mungu hadhulumu hata uzito wa chembe moja. Na ikiwa ni jambo jema basi Yeye hulizidisha na hutoa kutoka kwake malipo makubwa.