فَكَيْفَ إِذَا جِئْنَا مِن كُلِّ أُمَّةٍۭ بِشَهِيدٍ وَجِئْنَا بِكَ عَلَىٰ هَٰٓؤُلَآءِ شَهِيدًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi itakuwa vipi tutakapoleta shahidi kutoka kwa kila umma, na tukakuleta wewe kuwa shahidi dhidi ya hawa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi itakuwaje pindi tukiwaletea kutoka kila umma shahidi, na tukakuleta wewe kuwa shahidi wa hawa?