caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 30

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:30

وَمَن يَفْعَلْ ذَٰلِكَ عُدْوَٰنًا وَظُلْمًا فَسَوْفَ نُصْلِيهِ نَارًا وَكَانَ ذَٰلِكَ عَلَى ٱللَّهِ يَسِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mwenye kufanya hayo kwa kupita mipaka na udhalimu, basi tutamwingiza motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mwenye kutenda hayo kwa uadui na udhaalimu, basi huyo tutamwingiza Motoni. Na hilo ni jepesi kwa Mwenyezi Mungu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70