caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 29

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:29

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ لَا تَأْكُلُوٓا۟ أَمْوَٰلَكُم بَيْنَكُم بِٱلْبَٰطِلِ إِلَّآ أَن تَكُونَ تِجَٰرَةً عَن تَرَاضٍ مِّنكُمْ وَلَا تَقْتُلُوٓا۟ أَنفُسَكُمْ إِنَّ ٱللَّهَ كَانَ بِكُمْ رَحِيمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi mlioamini! Msizile mali zenu baina yenu kwa batili, isipokuwa ikiwa ni biashara kwa kuridhiana wenyewe. Wala msijiue. Hakika, Mwenyezi Mungu kwenu ni Mrehemevu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi mlio amini! Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa iwe biashara kwa kuridhiana wenyewe. Wala msijiuwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuwarehemuni.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70