caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 31

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:31

إِن تَجْتَنِبُوا۟ كَبَآئِرَ مَا تُنْهَوْنَ عَنْهُ نُكَفِّرْ عَنكُمْ سَيِّـَٔاتِكُمْ وَنُدْخِلْكُم مُّدْخَلًا كَرِيمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMkiyaepuka makubwa ya yale mnayokatazwa, tutawafutia makosa yenu madogo, na tutawaingiza pahali pa kuingia patukufu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMkiyaepuka makubwa mnayo katazwa, tutakufutieni makosa yenu madogo, na tutakuingizeni mahali patukufu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70