caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 28

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:28

يُرِيدُ ٱللَّهُ أَن يُخَفِّفَ عَنكُمْ وَخُلِقَ ٱلْإِنسَٰنُ ضَعِيفًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mwenyezi Mungu anataka kwamba awahafifishie, na mwanadamu ameumbwa dhaifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70