caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 27

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:27

وَٱللَّهُ يُرِيدُ أَن يَتُوبَ عَلَيْكُمْ وَيُرِيدُ ٱلَّذِينَ يَتَّبِعُونَ ٱلشَّهَوَٰتِ أَن تَمِيلُوا۟ مَيْلًا عَظِيمًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mwenyezi Mungu anataka kuwakubalia toba zenu, na wale wanaofuata matamanio wanataka kwamba mjipinde kujipinda kukubwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke makengeuko makubwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70