caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 21

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:21

وَكَيْفَ تَأْخُذُونَهُۥ وَقَدْ أَفْضَىٰ بَعْضُكُمْ إِلَىٰ بَعْضٍ وَأَخَذْنَ مِنكُم مِّيثَٰقًا غَلِيظًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa vipi mnaichukua ilhali mlikwishaingiliana nyinyi kwa nyinyi, nao (wanawake) walikwishachukua kutoka kwenu agano lililo madhubuti?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mtachukuaje na ilhali mmekwisha ingiliana nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70