وَلَا تَنكِحُوا۟ مَا نَكَحَ ءَابَآؤُكُم مِّنَ ٱلنِّسَآءِ إِلَّا مَا قَدْ سَلَفَ إِنَّهُۥ كَانَ فَٰحِشَةً وَمَقْتًا وَسَآءَ سَبِيلًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala msiwaoe wale waliowaoa baba zenu, isipokuwa yale yaliyokwishapita. Hakika, huo ni uchafu, na uchukizo, na ni njia mbaya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo na ni njia mbaya.