مَن يَأْتِيهِ عَذَابٌ يُخْزِيهِ وَيَحِلُّ عَلَيْهِ عَذَابٌ مُّقِيمٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNi nani itakayemfikia adhabu ya kumhizi na itakayemshukia adhabu ya daima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNi nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na itakaye mshukia adhabu ya daima.