caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:14

قُلِ ٱللَّهَ أَعْبُدُ مُخْلِصًا لَّهُۥ دِينِى

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Mwenyezi Mungu tu namuabudu kwa kumsafishia Yeye tu Dini yangu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Mwenyezi Mungu tu namuabudu kwa kumsafishia Yeye tu Dini yangu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70