caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:13

قُلْ إِنِّىٓ أَخَافُ إِنْ عَصَيْتُ رَبِّى عَذَابَ يَوْمٍ عَظِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Hakika mimi ninaogopa adhabu ya Siku Kubwa nikimuasi Mola wangu Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Hakika mimi ninaogopa adhabu ya Siku Kubwa nikimuasi Mola wangu Mlezi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70