caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:11

قُلْ إِنِّىٓ أُمِرْتُ أَنْ أَعْبُدَ ٱللَّهَ مُخْلِصًا لَّهُ ٱلدِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia Dini Yeye tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia Dini Yeye tu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70