قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلْمُنظَرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenyezi Mungu akasema: Basi umekwisha kuwa miongoni mwa waliopewa muhula.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenyezi Mungu akasema: Basi umekwisha kuwa miongoni mwa walio pewa muhula,